Wakala ni nani?
Wakala wa redPoint ni kampuni yoyote inayojihusisha kwa namna moja ama nyingine na maswala ya uandaaji sherehe na shughuli mbalimbali kama vile harusi, send-off, kitchen parties, corporate events au tukio lolote linalohitaji e-Card.
Kampuni hizo ni kama Stationery, Event Planners, MCs, Decorators na zingine zinazohusiana.
Faida ya kuwa Wakala
Wakala atapata 20% ya mauzo yote kutoka kwenye shughuli anazosajili.
Wajibu wa Wakala
Kusajili sherehe husika, kuwasiliana na mteja, kukusanya majina ya waalikwa, na kuwatumia kadi kwa wakati.