Sajili Mtoa Huduma (Vendors)
RedPoint inatoa nafasi kwa makampuni ya huduma za sherehe kujitangaza na kufikiwa na watu wanaopanga matukio mbalimbali kama harusi, send-off, kitchen parties, birthdays na corporate events.
Hii ni nafasi kwa Event Planners, DJs, MCs, Ma-decorator, Stationery, Makeup Artists, Caterers na wengine kujionyesha kwa wateja kupitia tovuti yetu na injini za utafutaji kama Google.
Faida ya Kusajili Huduma Yako
Huduma yako itaonekana na maelfu ya wageni wanaotembelea RedPoint — ikiwemo wale wanaotafuta e-Card na huduma zinazohusiana na sherehe.
Uonekane Mtandaoni
Tovuti yetu inaendana na injini za utafutaji kama Google na Bing, hivyo jina lako linaweza kuonekana kwa watu wanaotafuta huduma zako mtandaoni.